Zezeta Lyrics By Rayvanny

Rayvanny “Zezeta” Lyrics

Verse 1
Baby mooh nifanye big G unitafune
Ama niwe sindano nawe uwe uzi nguo
nifume
Ama niwe ndoo uwe maji yangu
unawanume
Nifanye kucha kama ukiwashwa mi
nikukune sema mama
Bridge
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila
kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa
unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila
usiku
Chorus
Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako
zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta
zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu
kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta
zezeta
Verse 2
Mama sitaki paka na panya vita za nini
Mi nataka niwe mafuta ujipakaze kote
mwilini eeh
Ama niwe taulo kanga laini ukioga
ninakufuta
Kutoka juu mpaka kwa chini mashallah
Ulivyo mwenzako taabani naishi muchumba
siendi varandani
Tena sikufanyi vocha soko dukani
Nikutumie muchumba nikutupe jaralani
sema mama
Bridge
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila
kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikikubeep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa
unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila
usiku
Chorus
Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako
zezeta zezeta
Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta
zezeta
Au unataka hati nyumba ya baba yangu
kwako zezeta zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta
zezeta
Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta
zezeta
Outro
Mashilawadu wana nyapia nyapia
Mashilawadu wana nyatia nyatia
Mashilawadu wapate kutangazia
Mashilawadu kuwa makini mama
Mashilawadu kwa kudandia dandia
Mashilawadu vya watu kupagazia
Mashilawadu macho funika pazia
Mashilawadu kuwa makini mama eeh eeh